Hawa jamaa ni matapeli
Wanatumia lugha ya ushawishi wa hali ya juu kukuaminisha na kisha unaingia king kuwatumia pesa. W ukishawatumia ndipo sinema inaanza hapo
Washawaliza watu wengi sana kutoka nchi mbalimbali. Nawaomba tu waswahili wenzangu msijiroge kuingia kwa hawa jamaa ni matapeli, mi nishapigwa dola 1,000 toka mwezi wa pili hakuna cha gari na hata nilipowaambia wanirejeshee pesa wananiletea uongo wa kitoto hadi sasa nimekata tamaa